Sunday, May 2, 2010

NCHI YENYE WANYAMA WENGI KULIKO BINADAMU

Je wajua Nchi yenye wanyama wengi kuliko binadamu duniani? Kwa wale wanaojua nawakumbusha ila kwa wasiojua nawaelimisha kuwa Australia ni nchi yenye wanyama wengi kuliko binadamu. Na wanyama wanaofugwa kwa wingi ni Kangaroo, inasemekana kuna idadi kubwa ya Kangaroo mara mbili zaidi ya idadi ya watu wanaoishi katika nchi hiyo.

No comments:

Post a Comment