Friday, June 25, 2010

UNAIJUA BUNDUKI?


Bunduki ni silaha inayorusha risasi dhidi ya shabaha yake. Ndani ya bunduki inatokea mlipuko wa baruti na gesi joto la mlipuko usukuma risasi kuelekea mwendo wa kasiba yake. Kutokana na sifa hii huitwa pia silaha ya moto.
Bunduki ya kisasa huwa na akiba ya ramia katika chemba yake isipokuwa silaha kadhaa za kuwindia. Silaha za kijeshi huwa na chemba zinazoshika risasi zaidi ya 100.

No comments:

Post a Comment