Tuesday, June 15, 2010

UNAJUA KWAMBA NDEGE ZILIFANYA SARAKASI KATIKA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA AFRIKA KUSINI

Unajua kwamba ndege za kivita zilishiriki katika uzinduzi wa Kombe la dunia la soka nchini Afrika Kusini mwaka 2010. Hii ilitokea katika uwanja wa Soccer City ambapo ndege hizo zilifanya sarakasi angani na kuwa kivutio kwa wengi.

No comments:

Post a Comment