Tuesday, July 13, 2010

ETI BONGO TUKIANDAA KOMBE LA DUNIA YATAKUWA HAYA

Kutokana na Tanzania kutokuwa na umeme wa uhakika wabongo wanadai siku tukijaaliwa kuandaa kombe la dunia la soka la FIFA, mambo yatakuwa kama unavyoyaona katika picha kila mchezaji na tochi zake mbili baada ya umeme wa TANESCO kuzima bila ratiba maalum ama taarifa kama tilivyojizoelea wabongo wenyewe wala hatuna tabu na mtu!

4 comments:

  1. Mkuu hii kali na inachekesha sana!! LOL! Ukweli ni kwamba bongo tuko zaidi ya miaka 100 kuandaa kombe la dunia! Kwa lugha nyingine na nyepesi zaidi ni NDOTO.... ahsante kwa picha murua mkuu!

    ReplyDelete
  2. Kaka kuna jamaa wanasema dunia itaisha bila bongo kuandaa fainali za kombe la dunia, ila mie sijui kaka!

    ReplyDelete
  3. Kwani kuna faida gani za kuandaa kombe la dunia? Pengine itakuwa bora kutumia mabilioni ya kuandalia hilo kombe kuhakikisha kwamba tunakuwa na umeme wa kuaminika...kama mabilioni hayo yasipoishia kwenye akaunti za wajanja wachache kule Uswizi. Tumenaswa (au pengine niseme tumejinasa) katika mduara usio na fundo (vicious cycle). LOL

    ReplyDelete
  4. asiyecheka hapa tumtafutie dokta haraka

    ReplyDelete