Saturday, July 17, 2010

KAZI NA DAWA

Ama kweli kazi na dawa na msafiri ni kafiri!

2 comments:

  1. Kizazi kipya kinaandaliwa, na maisha ya tembo yanaendelea huku akifanyishwa kazi ambazo kamwe "hakupangiwa". Binadamu naye kama kiumbe aliye kileleni mwa msimbo wa maumbile - yupo kuridhisha tamaa yake ya kusaka burudani isiyoisha (Tazama: http://matondo.blogspot.com/2009/12/upumbavu-wa-binadamu-huu-hapa-usitazame.html). Picha hii inafikirisha, kuchekesha, kudhihaki na hata kuhuzunisha!!!

    ReplyDelete