Thursday, July 22, 2010

KAKA ANATAFUTA MCHUMBA

Jamani kaka hapo juu pichani anatafuta mchumba popote duniani, kwa maelezo yake hana ubaguzi wa rangi, dini wala kabila. Sharti lake ni lazima uwe umetimiza miaka 18 na kuendelea kwa mawasiliano zaidi tembelea soko lolote lililo jirani na wewe.

3 comments:

  1. Kaka siku hizi ni hatari sana kuhusu haya mambo ya picha. Watu wanajua sana kucheza nazo na hii inafanya picha kupoteza heshima yake na hatimaye watu kujiuliza kila kunapotokea jambo la kutatanisha pichani. Ahsante kwa taswira nzuri ila huyu jamaa aendelee kusubiri tu..!

    ReplyDelete
  2. Kaka kuna dada yetu mmoja anaomba kuwasiliana na huyo shemeji yetu!!

    ReplyDelete