Tuesday, July 27, 2010

MZUMBE KUTOA SHAHADA YA UZAMIVU

Unajua kwamba Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Hill nchini Uingereza wako mbioni kutoa mafunzo ya shahada ya uzamivu (PHD) kwa wahadhiri wake katika masuala ya Utawala katika maeneo ya biashara, fedha na uhasibu. Masomo hayo yanakusudiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu kwa lengo la kupunguza gharama za kusomesha wahadhiri nje ya nchi.

Najuawajua ila nakukumbusha tu!

1 comment:

  1. Ni jambo jema kwa watanzania walipo nyumbani Africa!

    ReplyDelete