Saturday, July 10, 2010

OCEAN NA SEA KUBEBA MAANA MOJA

Kumekuwa na majina (nomino nyingi) zinazowachanganya watumiaji wa lugha ya kiswahili hasa neno moja linapokuwa na maana/majina tofauti katika lugha za kigeni, mfano halisi ni hili neno bahari na je ni nini hasa maana ya hahari kwa lugha yetu ya kiswahili?
Bahari ni eneo kubwa penye maji ya chumvi. Katika Kiswahili cha kila siku neno hili hutumiwa pia kwa kutaja magimba madogo zaidi ya maji kama ziwa.
Lakini tunaporudi katka lugha ya Kiingereza tunakutana na majina mawili yenye kubeba maana moja ya bahari, kuna neno "Ocean" na "Sea". Majina haya yanabeba maana moja ya Bahari. Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa dictionary.com (Translator).

2 comments:

  1. Swadakta mkuu limefika. Ahsante sana kwa kutuelewesha...

    ReplyDelete
  2. Asante sana Mfalme Mrope kwa changamoto zako

    ReplyDelete