Monday, August 2, 2010

ARUSHA YAWA JIJI

Je wajua kwamba ule mji maarufu Afrika na duniani kuwa sasa ni jiji? Si mungine ila ni Arusha. Ili kuwa jiji kamili serikali ilivihamisha vijiji sita vya Halmashauri ya Arusha wilaya ya Arumeru, vyenye wakazi wanaokadiriwa kufika 27,947 kwenda katika Halmashauri ya jiji jipaya la Arusha. Hongera 'A' town!

No comments:

Post a Comment