Tuesday, August 3, 2010

NGARIBA ASTAAFU

Wasichana wa jamii ya kimasai mkoani Tanga katika wilaya ya Handeni wamefurahishwa na hatua ya ngariba aliyekuwa anafanya kazi ya ukeketaji watoto wa kike kustaafu. Katika jamii ya kimasi huwa kila kitongoji kina ngariba mmoja. Ngariba huyo ameachana na kazi hiyo ya kinyama ikiwa ni matunda ya elimu ya utafiti iliyotolewa na Shirika la utafiti na tiba la Afrika (AMREF). Uwepo wa mangariba hao huwafanya wasichana wa kimasai wasiwe na amani katika maisha yao.

No comments:

Post a Comment