Sunday, August 1, 2010

JIEPUSHE NA TABIA HIZI

Jiebushe na tabia hizi  zitakufanya uzeeke haraka zaidi

Kutolala vya kutosha
Kutumia sukari nyingi
Usongo wa mawazo na fadhaa nyingi
Kutofanya mazoezi
Kutokuwa na marafiki
Kutokula mboga za majani
Kutofanya mapenzi

No comments:

Post a Comment