Sunday, August 1, 2010

ETI NI KWELI KUNA DAWA ZA KICHINA ZENYE UWEZO HUU?

Eti waungwana ni kweli kuna dawa za kichina zenye uwezo huu, yaani kubadili maumbile asilia na kuwa unavyopenda wewe? na kama kweli hii ipo na inawezekana kwanini binadamu aamue kubadili maumbule yake ya kiasili kuwa kuwa apendavyo yeye. Ebu tazama hiyo picha na utoe maoni yako juu ya hili jambo la kushangaza hasa katika mila zetu za kiafrika.

No comments:

Post a Comment