Saturday, August 14, 2010

KULA KUPITA KIASI NI HATARI KIAFYA

Kula chakula kupita kiasi cha kawaida na kutofanya mazoezi ya aina yoyote kunaweza kukusababishia kupata athari nyingi kiafya  ikiwepo kuongezeka uzito na kunenepa kupita kiasi. Vitu ambavyo usababisha maumivu ya viungo vya mwili na matatizo mengine mengi ya kiafya kama vile kongezeka kwa damu, kupata magonjwa ya moyo na kisukari pamona na shinikizo la damu.

Kuepukana na hili unashauriwa kula chakula bora na kwa kiasi cha kawaida.
Pia unashauriwa kutenga japo nusu saa kwa siku katika ratiba yako ya siku nzima kwa mazoezi ya kuuweka mwili kwako katika hali nzuri ya kiafya.

No comments:

Post a Comment