Wednesday, August 4, 2010

KUNA MENGI YA KUIGA KWA WATU MAARUFU LAKINI SI HILI LA ELTON JOHN

Mwanamuziki maarufu duniani Sir Elton John anatarajia kufunga ndoa ya tatu wakati wowote kuanzia sasa baada ya kutokuelewana na mme wake wa sasa David Furnish. Kabla ya kuolewa na Furnish alikuwa mke wa Renete Blauel ambaye alifunga nae ndoa tarehe 14 Februari 1984. Elton John alisema anatarajia kuolewa tena kwa mara ya tatu iwapo ndoa yake ya sasa itasambaratika. Hayo ndo mambo yanavyoenda duniani!

4 comments:

  1. Kwani huyu ni shoga?
    kha dunia ina maajabu

    ReplyDelete
  2. Dunia imebadilika siku hizi ndugu yangu. Kilichobaki ni kushikilia kile unachoamini na kuacha pumba zingine. Ahsante mkuu kwa kibande hii ya habari.

    ReplyDelete
  3. Penina huya jamaa ni shiga maarufu sana hapa dniani.

    ReplyDelete
  4. Kaka mrope hizi habari zinatisha sana hasa kwa mila zetu za kiafrika na vijana wetu wenye tabia ya kuiga vya ulaya. Kwa kweli ni hatari sana.

    ReplyDelete