Monday, August 23, 2010

MSHIRIKI BBA AFFICA AHOFIA KIFO

Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa "All Stars" Lerato (pichani kushoto) kutoka Afrika Kusini amekuwa katika wakati mgumu baada ya kupatwa na hofu ya kifo chake. Hofu hiyo imekuja baada ya kuona kuku anakula mayai yake na kwa mila na imani za kwao kuona tukio hilo ni ishara mbaya.

2 comments:

  1. Hizo imani potofu, je kama hatakufa atasemaje? Vyovyote iwavyo, kuku ale mayai asile, bundi alie asilie, siku ikifika imefika!

    ReplyDelete
  2. Hayo ndio matatizo ya mila zetu za kiafrika

    ReplyDelete