Wednesday, September 22, 2010

AFRIKA KUCHEZA NGOMA NI ASILI YETU

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania Jakaya .M. Kikwete akicheza ngoma zilizokuwa zikipigwa na wana CCM katika moja ya kampeni zake huko Njombe hivi karibuni. Kwa Afrika ngoma hutumika sana hasa kwenye matukio makubwa kama haya ama sherehe.

2 comments:

  1. Ha ha ha ha ha! hilo litakuwa limbamiza ni ngoma moja nzuri sana yaani ikipigwa hapa huwezi kukaa tu ni lazima utainuka na kuchaza. Haya Kikwete hakuna kulala hata kama hujala....

    ReplyDelete
  2. Unataka kuniambia Lizombe haioni ndani kwa Limbamiza? ha ha ha safi sana hiyo!

    ReplyDelete