Wednesday, September 22, 2010

KUMBE JAMAA HAWA WALIWAHI KUPEANA MIKONO KWA FURAHA

Aliyekuwa kiongozi wa nchi ya Uganda Iddi Amini aliyekatika mavazi ya kijeshi akipeana mikono na aliyekuwa kiongozi wa Tanzania Mwalimu Julius .K. Nyerere aliyekaa (wote walikuwa marais wa nchi zao na sasa wote ni marehemu) wakipeana mikono kwa furaha katika moja ya vikao vya wakuu wa Afrika. Viongozi hao walikuja kuingia vitani baina ya nchi zao na vita hiyo kudumu kwa mwaka mzima kati ya mwaka 1978 na 1979.

3 comments:

  1. La hasha!

    Amin alinyosha mkono kumsalimu Nyerere. Nyerere akakacha kushikana mikono!

    ReplyDelete
  2. Hiyoo ndio siasa, leo marafiki kesho maadui, na keshokuta itajipa yenyewe, haitabiriki!

    ReplyDelete
  3. Inawezekana kweli ikatokea kutokuelewa kwa viongozi wawili binafi kukapelekea kuingiza nchi zao vitani?

    ReplyDelete