Monday, September 20, 2010

BIG BROTHER AFRICA MAMBO MAZURI

Mambo mazuri kwa balozi wa Tanzania katika mashindano ya BIG BROTHER AFRICA ALL STARS Mwisho Mwampamba baada ya kutinga top 5. Pichani Mwisho akijipongeza na Meryl katika jacuzzi ndani ya jumba la Big Bro baada ya kutinga tano bora.

No comments:

Post a Comment