Saturday, September 25, 2010

KUSAKA KURA KWA WANANCHI KAZI

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete akiwa na mmoja ya wapiga kura wake akiongea nae kwa karibu, mpiga kura huyo ambaye ni mlemavu alikuwa anatoa shukurani kwa Dkt Kikwete kwa kumjali na kumnunulia bajaj mapema mwaka jana. Kweli kusaka kula kwa wananchi ni kazi sana.

No comments:

Post a Comment