Sunday, September 26, 2010

SHEIN RANGERS YAWA MABINGWA WAPYA WA KINONDONI

Timu ya Shein Rangers ya sinza imetwaa ubingwa wa soka wa mkoa wa Kinondoni kwa kuichapa timu ya Star Rangers ya Kimara kwa penati 4 - 3.

2 comments: