Tuesday, September 14, 2010

MREMBO ALIPOTELEZA JUKWAANI

Je wajua kwamba siku ya kumsaka mlimbwende wa Tanzania yaani MISS VODACOM TANZANIA 2010 katika ukumbi mpya na wakisasa wa Mlimani City Hall, mlimbwende mmoja aliteleza na kuanguka mpaka  chini. Angalia picha ya mlimbwende aliyepatwa na mkasa huo akiwa chini na wenzake wakishikwa na mshangao.

3 comments:

  1. Hizo ni ajali za kawaida hutokea, nakumbuka kuna miss mmoja kwenye hayo mashindano ya kimataifa, yalimtokea zaidi ya hayo, wakipita na vichupi ....

    ReplyDelete
  2. Sio ajabu viatu utadhana msumari...halafu wenzake wanamcheka hapo. kaazi kwelikweli kisa sababu ya kupigania uzuri...

    ReplyDelete
  3. Nimesikia watu wengine wakisema misumari ya babu hiyo!

    Ila ni mambo ya kawaida naona ni bora wangekuwa wanapata muda wa kutosha kufanya mazoezi katika ukumbi halisi wanaofanyia mashindano yao wakiwa na baadhi ya vifaa wanavyotegemea kutumia siku ya fainali km viatu n.k

    ReplyDelete