Sunday, September 5, 2010

POLISI NA UTAYARI WAO

Polisi wa Tanzania wakiwa katika vifaa vipya na vya kisasa kwa ajili ya kukabiliana aina yoyote ya uharifu hasa kipindi hiki tunapoelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

2 comments:

  1. Ni sawa wao wamevaa kinga, je raia wasio na hatia watavaa nini?

    ReplyDelete
  2. Lakini polisi wetu wakikosa vifaa bora utendaji utapungua na tutawaona wazembe.

    ReplyDelete