Wednesday, September 1, 2010

UNAJUA HILI LA MENO YA MBU?

Habari za kisayasi zinasema mdudu mbu ambaye ni hatari kwa kueneza magonjwa ikiwemo maralia na matende amegundulika kuwa ana idadi ya meno mengi zaidi ya binadamu mtu mzima. Kitaalam tunaambiwa binadamu mtu mzima anakuwa na meno yapatayo thelathini na mbili. Lakini wanasayasi wanasema mbu ana idadi kubwa ya meno kuliko binadamu, kwani mbu amegundulika kuwa ana meno Arobaini na saba na yote yanatumika.

3 comments:

  1. Ni kadudu kadogo lakini kanatisha!

    ReplyDelete
  2. Na ndio kanaongoza kutoa uhai wa ndugu na jamaa zetu.

    ReplyDelete
  3. Kwanini wasitutafutie kinga (prevention) na ukatokomea kama ilivyokuwa ndui na magonjwa mengine, au biashara yao ya dawa itakosa soko!!
    HIV kwa sababu na wao inawapata, haraka sana japo wamehangaika lakini kuna matumaini. Tunaomba watusaidie kupata kinga, TOOOBA!

    ReplyDelete