Wednesday, October 6, 2010

HAYA YA KIPANYA NAYO SI YA KUYAPUUZA

Katika katuni hii ya kipanya kuna ujumbe usemao:- Kwanini kila uchaguzi chama cha upinzani kinachong'ara huwa ni tofauti? Tafakari......... Haya ya kipanya si ya kuyapuuza hata kidogo hebu nawewe tafakari.

No comments:

Post a Comment