Friday, October 29, 2010

KULIKONI VIFO VYA KUNGURU VIMEZIDI JIJINI DAR

Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la vifo vya ndege aina ya kunguru katika jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Wilaya ya Kinondoni. Je nini hasa kinasababisha vifo vya  ndege hawa? wahusika watuambie kuna maradhi yameingia hapa nchini! au wamewekewa sumu?

2 comments:

  1. duh, halafu kweli yaani nilikuwa najiuliza bila kupata jibu, nikasema labda watu wana shabaha siku hizi...isije kuwa ugonjwa

    ReplyDelete
  2. wasi wasi wangu usije ukawa ugonjwa umeingia!

    ReplyDelete