Wednesday, October 27, 2010

UCHAGUZI MKUU 2010

Zikiwa zimesalia siku nne kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tushiriki sote katika kupiga kura kwa amani na utulivu.

Mtanzania kupiga kura ni haki yako ya msingi!

No comments:

Post a Comment