Mambo ya jiji la Arusha, picha hii inayoonyesha uzuri wa jiji la Arusha kwa juu. Arusha ni moja ya majiji mapya katika ukanda wa Afrika mashariki licha ya mji wa Arusha kuwa maarufu dunia hasa katika sekta ya utalii wa Tanzania. Arusha ni moja ya mikoa michache nchini inayosifika kwa kuwa na hali ya hewa nzuri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment