Thursday, November 11, 2010

BWAWA LA MTERA

Hili ndio bwawa la Mtera, bwawa ambalo ni moja ya vyanzo vya umeme vinavyotegemewa hapa nchini Tanzania kwa uzalishaji wa umeme.

1 comment:

  1. Yaani TANZANIA tuna mito, mingi, tuna mabwawa mengi ambayo yanaweza kuwa vyanzo vya umeme, lakini twategemea hapo tu...na nyumba ya mungu au sio...kwanini, natafakari?

    ReplyDelete