Sunday, November 14, 2010

PARIS JIJI LA RAHA NA VITUKO

Paris ni moja ya majiji yenye raha na vituko tele hapa duniani jiji hili lipo nchini Ufaransa. Katika moja ya vituko vyake vingi ni hiki kisa cha mama mmoja wa makamo aliyezaa na mjukuu wake wa kiume ambaye ni mtoto wa binti yake wa kwanza. Mwana mama huyo amekuwa akimlea mjukuu wake toka kuzaliwa kwake na inadaiwa alikuwa akimlazimisha kufanya nae tendo la ndoa, hadi kusababisha kupata ujauzito.

Mama huyo mwenye umri wa miaka 50 amefunguliwa mashitaka na binti yake kwa kosa la kumbaka mwanawe kijana wa umri wa miaka 18. Hayo ndio mambo ya bibi na mjukuu wake toka katika jiji la Paris.

No comments:

Post a Comment