Wednesday, November 3, 2010

HAIJAPATA KUTOKEA

Haijapata kutokea katika miaka ya karibuni kuona wafuasi wa vyama vya siasa hasimu CUF na CCM kuwa na furaha na amani mitaani tena baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Rais wa visiwa vya Zanzibar. Amani hii idumu kwa vizazi vilivyopo na vijavyo kwa faida ya Zanzibar na Tanzania. Zanzibar yenye amani inawezekana.

MUNGU IBARIKI ZANZIBAR, MUNGU IBARIKI TANZANIA


No comments:

Post a Comment