Tuesday, November 2, 2010

UCHAGUZI 2010 WAMRUDISHA MREMA MJENGONI

Mgombea ubunge wa jimbo la Vunjo Augustino Mrema ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha kisiasa cha TLP ameibuka mshindi katika jimbo hilo na kuthibitishwa kuwa mbunge mteule, kwa ushindi huo mzee Mrema ambaye ni mwanasiasa machachari anarudi tena mjengoni (bungeni) kwa kishindo. Tungoje kuona mavitu yake mjengoni.

1 comment:

  1. Sasa yale mambo yetu ya `natoa siku mbili..' yatarejea, na mmmh, huyu jamaa anastahili kurejea huko, kwanza ndio watetezi wa mwanzo wa demokrasia na mhhh, angalau naye akarudishe mwili wake,.......

    ReplyDelete