Thursday, November 25, 2010

JOHN CENA KUENDELEZA FILAMU YA SUPER MAN

Mcheza filamu na mieleka maarufu ulimwenguni John Cena, anatarajia kuwamo katika muendelezo wa filamu ya SUPER MAN. Mbabe huyo wa WWE ataonekana katika filamu ya 'Man of Steel' hivi karibuni. Kwa hivi sasa mcheza mieleka huyo anayependwa hasa na watoto anatengeneza filamu ya Reboot.

No comments:

Post a Comment