Thursday, November 18, 2010

MWALIMU NYERERE KIONGOZI WA MFANO

Mwalimu JK Nyerere ambaye alikuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kiongozi wa mfano anayestahili kuigwa na viongozi waliopo sasa na wajao. Nyerere aliweza kufanya kazi kwa kushirikiana bega kwa bega na wananchi wakati wa uongozi wake ulioipatia Tanzania heshima kubwa ndani na nje ya bara la Afrika. Tunapenda kuona nchi yetu inakuwa na viongozi wa namna ya Mwalimu Nyerere ili kurejesha heshima ya Taifa letu.

No comments:

Post a Comment