Kitambulisho cha uanachama wa BIMA YA AFYA (National Health Insurance Fund) ID No: 3582 na Membership ID 06-5340569 chenye jina la Vitals Mwakasege kimeokotwa maeneo ya Regent Estate (Mikocheni) jijini Dar es salaam. Mtu yeyote mwenye kumfahamu mhusika awasiliane nasi kwa kupitia barua pepe: najuawajua@yahoo.com ili aweze kupatiwa kitambulisho chake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana, tukiwa hivi, inajipa moyo, ukipoteza watu wanaokota wanatngaza. TWASHUKURU SANA KWA MOYO HUU
ReplyDeleteAsante sana na mtu anayemfahamu ameshajitokeza
ReplyDelete