Mambo mengi unajua ila ni vizuri tukikumbushana na kuelimishana
Tuesday, December 21, 2010
WALE MAHARUSI WETU WALIFIKA SALAMA
Wale maharusi wetu waliotumia usafiri wa piki piki (bodaboda) walipotoka kufunga pingu za maisha walifika salama safari yao na sherehe ya kuwapongeza wawili hapo iliendelea kama kawaida.
Madhumuni ya Blog hii, ni wadau kwa pamoja kutumia Teknolojia hii ya mawasiliano kwa kukumbushana,kufurahishana na kuelimishana . Tukiwa pamoja katika kuchangia hakika tutafuta ujinga. Ila tusisahau kukumbushana, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
Nitumie picha, maoni na hata unalotaka kutukumbusha na kutuelimisha, NAJUA WAJUA ILA NAKUKUMBUSHA.
WASILIANA NASI KWA:
Simu 022 2461457/ 0784 251001/ 0773 251001
E.Mail - najuawajua@yahoo.com
Mungu aibariki ndoa yao, kwani nahisi haijatumia gharama nyingi za kufuru,.........!
ReplyDeleteNa sasa wanaonekana kuchoka kweli hasa bwana harusi.
ReplyDeleteKila mtu hujikuna anapofikia!
ReplyDeletewamefanikisha siku yao muhimu!
ReplyDelete