Mcheza sinema za mapigano ambaye amajijengea umaarufu duniani katika sanaa hiyo ya maigizo Wesley Snipes anatarajia kuanza kutumikia kifungo katika gereza la Federal Correction Institution nchini Marekani kwa kosa la kushindwa kutunza kumbukumbu za ulipaji kodi. Yeye mwenyewe ametamba kuwa haogopi kwenda gerezani kwa kuwa yeye ni mwanaharakati, mvumilivu, mkweli, amekomaa kiroho na pia ni msomi wa sayansi ya sheria na fedha.
Inasemekana amefungwa kwa kushindwa kulipa kodi hata ya mwaka mmoja ambayo ni dola milioni 2 wakati yeye anaingiza dola milioni 13 kwa mwaka.
Kwa wenzetu sheria ni msumeno
ReplyDeleteLakini na sisi kama tunahitaji maendeleo ya kweli tuige mambo kama haya.
ReplyDelete