Wednesday, December 1, 2010

SIKU YA UKIMWI DUNIANI


Wakazi wa jiji la Dar es salaam walijitokeza kwa wingi siku ya leo kujua Afya zao kwa  kupima virusi vya Ukimwi ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani. Shughuli ya upimaji na utolewaji wa elimu juu ya ukimwi ufanyika dunia kote tarehe na mwezi kama wa leo. Kamera yetu iliwanasa wakazi wa Vingunguti jijini Dar es salaam wakiwa wamejitokeza kupima kama inavyoonekama pichani hapo juu.

No comments:

Post a Comment