Tuesday, April 5, 2011

HUYU NDIO MWANAFUNZI WA KITANZANIA

Huyu ndio mwanafunzi wa kitanzania: Mwanafunzi huyu licha ya kupata elimu isiyo ya kiwango cha juu bado anapata shida kubwa kuifikia hiyo elimu.Ebu tazama mtoto wa kitanzania akipata shida kuifikia elimu, tufanye nini ili kumsaidia mtoto wa kitanzania katika tatizo hili sugu la usafiri waendapo na watokapo mashuleni?

5 comments:

  1. Ningekuwa Rais au mwnye madaraka fulani ningeweka katika shule zote kuwa na usafiri wa mabasi. Yaani mabasiya shule kwa ajili ya kuwapeleka wanafunzi shule na kuwarudisha nyumbani. ...hii ni ndoto/wazo yangu/langu

    ReplyDelete
  2. Ni kweli hayo ndio maisha bora...msijali sana, kaza buti tutafika tu!

    ReplyDelete
  3. Lakini kweli bado ni tatizo kwa wanafunzi wa kitanzania katika suala la usafiri.

    ReplyDelete
  4. Sijui hii kero itaishia wapi?maana huyo dereva hapo kawasaidia sana japo kwenye karandinga.

    ReplyDelete
  5. kaka kazi nzuri big up, nami pia mwana blog naomba link hapo kwako nami pia ntaku-link kwangu.Blog yangu hii: http://allyshams.blogspot.com/
    Naimani utafanya hivyo

    ReplyDelete