Saturday, April 2, 2011

SOKA INA WENYEWE

Kweli soka ina wenyewe, hebu angalia picha hii hapa alafu pata picha ndo wazee wetu wa kibongo ndio wawe wanasakata soka, hali inakuwa aje hapo uwanjani?

4 comments:

  1. Haya bwana! hapo ni bombi kweli na halafu angalia walivyo hawaonekani kama ni kweli wazee yaani wanaonekana bado wanaonekana wana nguvu kutosha :-)

    ReplyDelete
  2. Itakuwa shega tu, tena itapendeza kiukweli.

    ReplyDelete
  3. Ila wazee wa huku wanaweza wakashindana kwa ndumba tu uwanjani badala ya soka ya maana.

    ReplyDelete
  4. Kaka mimi,wewe na wengine tujaribu kuwahamasisha wazee wetu!!!!wenye misuri,jezi,migolole,suruali,wote rukhsa kuingia uwanjani,ili tusakate kabumbu!!.

    ReplyDelete